Msaada charity Association ilioko Dallas,USA.Imejitolea 100,000/- kusomesha Kijana Dido alioko Kidato cha kwanza Mamsa.
Hii ni baada ya Mwanafunzi huyu kufaulu katika mtihani wa kitaifa na hatimae kushindwa kusoma Shule ya upili kutokana na hali duni ya maisha yake,isitoshe kijana huyu ni yatima.
Ufadhili huu umesimamia mpaka sare zake za shule,vitabu na malazi.
Sura za bashasha zimeonekana kati ya Mwanafunzi huyo na waalimu kwa jumla kwa kupata kushirikiana na Chama hicho kufanikisha Gurudumu la Elimu.
Shukran za dhati kutoka Mamsa kwanzia Mwanafunzi,Waalimu,Wasimamizi na Familia yote kwa jumla.hakuna cha kuwalipa ila Mola ndie atwajazi kila la kheir na awape uwezo musaidie wengi wengine.
Ukurasa wetu wa Facebook
Tuesday, 27 January 2015
100,000/-Ksh kutoka Msaada Charity Association yasomesha yatima Mamsa 2015
Friday, 23 January 2015
Thursday, 22 January 2015
DEBATE:MY DRESS,MY CHOICE
Pleasured to have a Guest in our Today's Debate Mr.Muriu Muriu From Focus Africa.
The Motion was My Dress,My Choice!,thank you all for making the session active.
More Photos visit our Facebook
Friday, 16 January 2015
MSHINDI WA SHAIRI APATA 200Mbs
Mshindi wa shairi la kusifu Mamsa ajishindia 200Mbs kwa mara ya kwanza!Mwalimu wa shule hiyo Mr.Said aibuka kuwa mshindi.
KITABU CHA MUONGOZO WA SOMO LA TARAKILISHI LACHAPISHWA NA KUUZWA 1,000/-KSH
Kitabu cha Muongozo wa Tarakilishi cha chapishwa na kuuzwa 1,000/- Kwa nakala.Kitabu hiki kimetungwa chini ya ushauri wa Mr.Mohamed Ali Al-amoody
Thursday, 15 January 2015
TUNGA SHAIRI LA KUSIFU MAMSA USHINDE 200 Mbs! Click
Sifu Mamsa Kwa kupitia SHAIRI,tunga shairi kisha ulitume kwa Nambari 0702483973.
Sharti la shairi Liwe na Beti si chini ya Tatu,na lenye kutaja majina kama ya fuatayo:
Farhan,Alamoody,Said,Jamal,Denis,Shaaban,mohamad na Saumu.
Mwisho wa mashindano ni 16/1/2015 Saa sita mchana.
Monday, 12 January 2015
3Rd SCHOOLARSHIP AWARD 2015
Today we are happy to and blessed to award full Schoolarship for secondary education to the Second best student in marginalized areas-Tarassa(TanaRiver),the student is the third sucessfull applicant in our schoolarship programme 2015.
The student scored 349 Marks.We lead by Example!
Friday, 9 January 2015
WAALIMU WAKAGUA BWAWA LA SAMAKI MAMSA
Waalimu leo hii wameweza kuchukua muda wao na kutembelea bwawa la samaki lilioko shule,na kufkiria miradi mengi mengine.
Tuesday, 6 January 2015
TEACHING VACANCIES MAMSA HIGH SCHOOL 2015
Apply Below vacancies:
Mathematics/Chemistry OR
English/History
Apply Now Click: MAMSA
The early Bird ,Catches the Worm!!!
For more information contact:
THE PRINCIPAL,
0725582841.
SCHOOLARSHIP AWARD 2015
Mamsa High School today Granted A schoolarship to student Hamza Haroun,after his performing better in his Kcpe 2014
Monday, 5 January 2015
MIKAKATI KABAMBE YA KUBORESHA MAMSA 2015
Mikakati Kadhaa ya Kuboresha Shule yame Jadiliwa hii leo katika mkutano wa kwanza 2015.
Yakiwemo :
*Shule Kusherehekea Mwaka wa pili wa mafanikio
*Shule kuorodheshwa Miongoni mwa shule bora
*Wanafunzi waliofaulu kupewa tuzo
Kwa maelezo zaidi,pitia ukurasa wa facebook
MAMSA HIGH SCHOOL YAPOKEA WANAFUNZI WENGI 2015
SHULE YA UPILI YA MAMSA MJINI MALINDI ,KENYA YAPOKEA WANAFUNZI WENGI 2015.
Akizungumza na Mamsa Press Msimamizi wa shule hiyo Mohamed Ali Al-amoody asema atarajia wanafunzi takriban 50 Hamsini watakao jiunga mwaka 2015.
Kesho shule hiyo itaanza masomo rasmi na hatimae wanafunzi kujengwa kimaadili na kielimu,Mwalimu mkuu Farhan Abdul akielezea.
Kwa maelezo zaidi pitia ukurasa wa facebook https://www.facebook.com/MamsaHighSchool